Tanzania

Ratiba ya Malipo ya ada za MGST / T-Net na Malipo ya Adhabu ya Kuchelewesha Kulipa                            

 

Tanzania– Image 1 of 30

 

Ada ya Kozi–Inalipwa siku ya kwanza ya kila kozi

  1. Kwa ajili ya kuhitimu cheti – hakuna ada ya mafunzo (ni ada ya MGST/T-Net tu)
  2. Shahada – Tshs. 40,000/kozi (hakuna ada ya MGST/T-Net)
  3. Digrii ya kwanza (BA) – Tshs. 50,000/kozi
  4. Uzamili (MA) – Tshs. 60,000/kozi
  5. Udaktari (D.Min) – Tshs. 60,000/kozi

Ada za Minnesota Graduate School of Theology / T-Net

Kila digrii inahitaji malipo ya ada kama ifuatavyo:

  1. Dola 50 za Kimarekani kama ada ya usajili hulipwa mwaka wa kwanza wa programu ya digrii
  2. Dola 50 za Kimarekani kama ada ya kujiandikisha kwa ajili ya programu ya digrii, hulipwa mwaka wa pili wa programu ya digrii
  3. Dola 50 za Kimarekani kama ada ya mahafari, hulipwa mwaka wa tatu wa programu ya digrii

Kiasi cha Tshs. 10,000 lazima kilipwe pamoja na kila Dola 50 ili kugharimia gharama za usafirishaji kwenda MGST/T-Net.

Ratiba ya Malipo ya ada za MGST / T-Net na Malipo ya Adhabu ya Kuchelewesha Kulipa

                                                                                                                                  

TanzaniaLrd1 

Tanzania - Chomba David Kalyati, chombadk@gmail.com